Functions of NLUPCThe functions of the National Land Use Planning Commission (NLUPC) as provided for under section 4 (1-2) of Act. No. 3 of 1984 are as follows:-
1. To formulate policy on land use planning and recommend its implementation by the Government.2. To co-ordinate the activities of all bodies concerned with land use planning matters and serve as a channel of communication between those bodies and the Government. 3. To evaluate existing and proposed policies and the activities of the Government directed towards the safe guarding of land against its wrongful, wasteful or premature use or development and on the basis of that, recommend to the Government policies and programmes which will achieve, more effective protection and enhancement of the land quality and encourage better land use planning. 4. To recommend measures to ensure that Government Policies including those for development and conservation of land take adequate account of its effects on land use. 5. To stimulate public and private participation in activities related to land use planning for national beneficial use of the land. 6. To foster co-operation between the Central Government, Local Government Authorities and other bodies of persons engaged in land use planning programmes. 7. To seek the advancement of scientific knowledge of changes in land use and encourage the development of technology to prevent or reduce adverse effects that endangers man's health or welfare. 8. To specify standards, norms and criteria for the protection of beneficial uses and the maintenance of the quality of land. 9. To establish and operate a system of documentation and dissemination of information relating to land use planning. 10. To examine existing laws, and where appropriate formulate proposals for legislation in the area of land use planning issues and recommend their implementation by the Government. 11. To establish and maintain liaison with other countries and international organisations with respect to issues and matters relating to land use planning. 12. To establish and maintain liaison with Land Advisory Committees in the Districts and Regions with respect to issues and matters related to land use planning so as to ensure that national and local interests in land use are taken into consideration. 13. To prepare Regional Physical Plans and ensure their implementation by the regions. 14. To undertake and promote general educational programmes in land use planning for the purposes of creating and enlightening the public opinion regarding the land and the role of the public in its protection, use and improvement. 15. To perform such other functions as the Minister may assign to the Commission, or as are incidental or conducive to the exercise by the Commission of all or any of the preceding functions. 16. All the above functions have not been fully implemented because of lack of funds. The Commission has reviewed its functions as presented in section 4.2 of this paper for the purpose of effective and efficient performance to the country. Majukumu ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi 1) Kuratibu, kushauri na kukagua sekta zote kuhusu viwango vya pamoja na kumshauri Waziri kuweka viwango vilivyokubalika. 2) Kutoa msaada kwenye mamlaka zote za upangaji wa matumizi ya ardhi na kuandaa mipango ya matumizi ya ardhi, kuratibu utekelezaji wake na, kuifanyia tathmini kila wakati. 3) Kuratibu shughuli za vyombo vyote vinavyohusika na mambo ya upangaji wa matumizi ya ardhi na kutumika kama njia ya mawasiliano kati ya taasisi hizo na Serikali. 4) Kubuni na kuhakikisha uendelezaji wa progamu ambazo zitalinda na kuiniar-isha kwa ukamilifu ubora wa ardhi na upangaji wa matumizi ya ardhi 5) Kuhamasisha ushiriki wa umma na sekta binafsi katika shughuli zinazohusiana na upangaji wa matumizi ya ardhi kwa ajili ya matumizi ya ardhi yenye uwiano na manufaa. 6) Kuendeleza ushirikiano kati ya Serikali, mamlaka za serikali za mitaa na taasisi nyingine zinazojishughulisha na upanÂgaji wa matumizi ya ardhi. 7) Kuhuisha maendeleo ya maarifa ya kisayansi katika mambo ya upangaji wa matumizi ya ardhi na kuhimiza maendeleo ya teknolojia yanayolenga kwenye uzuiaji au upunguzaji wa madhara makubwa katika ardhi. 8) Kuainisha viwango, desturi na vigezo kwa ajili ya ulinzi wa matumizi yenye manufaa na kudumisha ubora wa ardhi. 9) Kuendesha na kuratibu utafiti uchunguzi na upimaji wa ardhi unaohusiano na upangaji wa matumizi ya ardhi na kukusanya taarifa, kuzipanga kwa uta ratibu na kuanzisha benki ya taifa ya takwimu ya kueneza taarifa ya matokeo ya utafiti, uchunguzi au tathmin za ardhi. 10) Kuanzisha na kuendesha mfumo wa kumbukumbu na uenezaji wa taarifa inayohusiana na upangaji wa matumizi ya ardhi. 11) Kwa kushauriana na Wizara zozote za kisekta, kutathmini sheria zilizopo na kuishauri Serikali juu ya hatua za kisheria na nyinginezo kwa ajili ya upangaji wa matumizi ya ardhi na kupende keza utekelezaji wake. 12) Kuanzisha na kudumisha ushifikiano na nchi nyingine na mashirika ya kimataifa, kwa ajili ya masuala na mambo yanayohusiana na upangaji wa matumizi ya ardhi. 13) Kushirikiana na sekta binafsi, taasisi zisizo za kiserikali wakala wengineo kuandaa na kutekeleza programs zinazokusudia kuimarisha elimu ya upangaji wa matumizi ya ardhi, na mwamko wa umma kuhusu haja ya usimamizi bora wa matumizi ya ardhi na kwa ajili ya kushawishi umma kusaidia na kuhimiza jitihada zinazofanywa na vyombo vingine kwa ajili hiyo. 14) Kuendesha na kuunga mkono programu za mafunzo katika upangaji wa matumizi ya ardhi kwa ajili ya kuelimisha umma juu ya upangaji wa matumizi ya ardhi unaofaa na wajibu wa umma katika ulinzi, matumizi na uboreshaji wake. 15) Kuhakikisha na kuratibu utekelezaji wa mipango ya matumizi ya ardhi inayoidhinishwa 16) Kufanya shughuli nyingine kama itakavyoagizwa chini ya Sheria ya MiÂpango ya Matumizi ya Ardhi.
Menu
![]() ![]() Related Topics
![]() ![]() Whats NewRais Jakaya M. Kikwete amemteua Ndg. Abubakar Rajab kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa - NLUPCWizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi inapenda kuutaarifu umma kuwa Mh. Rais Jakaya M. Kikwete… |
More on Land Policies and Regulations