21/04
2010

Mpango wa Taifa wa Matumizi ya Ardhi 2009 hadi 2029

Mamlaka ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi
- Ibara ya 6 ya Sheria ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi inaunda Tume na Ibara ya 7 inaelekeza majukumu ya Tume.
- Ibara ya 18 inaunda Mamlaka za upangaji nazo ni :
- Halmashauri ya Kijiji;
- Halmashauri ya Wilaya;
- Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi;
- Pia Waziri anaweza kuunda mamlaka kwa eneo la mpango au mamlaka ya pamoja kwa eneo la mpango na kutangaza kwenye gazeti la serikali.